Friday, 17 February 2017

ASLAY RUDI LYRICS

Mchana jua kali naona nyota zinawaka
Siamini kama Leo hii baby unaniacha
Vibaya hvyo unanikosea
Kumbuka tuna watoto wadogo nani atawalea
Moyo mashine unatia misumali inakoboa
Au labda kuna makosa mkubwa niliyokufanyia
Si ndio wewe Eeh
Uliyeniahidi utabaki na mimi milele
Mungu ndio shahidi
Au mwenyewe Eeh umefanya makusudi
Nia yako unataka uniue ili ufaidi

Ona Moza analia Eeh mama rudi mama rudi
Ooh Baby Baby uwalee watoto wako
Na Raj analia Eeh mama rudi mama rudi
Ooh Baby Baby uwalee watoto wako

Tatizo si mimi tatizo moyo wangu
Unakupenda wewe unitaki mwenzangu
Chengine kikubwa ni watoto wangu
Hebu rudisha moyo
Muogope Mungu Baby
Ahh ukikopa Eeh
Nitalipa Eeh
Usiondoke mama tuyajenge makopa Eeh
Ukikopa kopa Eeh
Nitalipa Eeh
Usiondoke mama tuyajenge makopa Eeh
Begi weka ndani wape Maziwa watoto wanywe Mama eeh
Ugomvi wa nini wakati mi na we tushaanza kufanana Eeh
Tema mate chini mambo mengi tuwachie Maulana Eeh
Wewe na mimi mpaka kesho kiama Eeh

Ona Moza analia Eeh Mama rudi mama rudi
Ooh Baby Baby
Uwalee watoto wako
Na Raj analia Eeh Mama rudi mama rudi
Ooh Baby Baby
Uwalee watoto wako

Ukikopa Eeh
Nitalipa Eeh
Usiondoke mama tuyajenge Makopa Eeh

Ukikopa Kopa Eeh
Nitalipa Eeh
Usiondoke Mama tuyajenge Makopa Eeh..........




Rudi_Aslay
Lyrics by Mselaree

No comments:

Post a Comment