Sunday, 26 March 2017

ROSELLA H_ART THE BAND X LADY JAY DEE LYRICS

Afraid to tell him how she feels, she silently whispers to herself Afraid holding her breath maybe he might hear her see he doesn't feel the same way maybe......... H_ART THE BAND.. LADY JAY DEE

Verse 1
Nikaja kupenda na moyo wangu wote, binti huyu aliyefanya nimuote usiku na mchana, nikawa ni kama nimepagawa sionekani popote, nikaja kutenda mambo mengi magumu na mazito ilmradi niwe nawe lakini sasa ninapotazama naona kwamba niliachwa upweke nilikuwa na wingi wa mahaba nilikupenda kinyama kukutenda sikuwaza kamba nikakaza lakini hauonekani mpaka sasa nilikuwa na wingi wa mahaba nilikupenda kinyama kukutenda sikuwaza kamba nilikaza lakini hauonekani mpaka sasa

Chorus
Rosellaaaaaa....... Mi unaniumiza
Rosellaaaaaa...... Umebadilika
Rosellaaaaaa.... Nashindwa kuhamua aaah
Rosellaaaaaa...... mi unaniumiza
Rosellaaaaaa..... Umebadilika
Rosellaaaaaa.... Nashindwa amua aaah

Jay dee
Nikweli niliamua kuondoka nikidhani ntapendwa
Niendako oooh hakuna ooh nilidhani nitakuta tofauti hyo yote mpaka sasa sijaona
Moyo waniuma nikikumbuka mambo mengi we ulo nikosea
Najiuliza je ni kweli Umebadilika ama maumivu mi nayarudia masikini Nashindwa amua oooh Nashindwa ooh
Najiuliza je ni kweli Umebadilika ama maumivu mi nayarudia masikini Nashindwa amua oooh Nashindwa aaah.....

Rosellaaaaaa...... Mi unaniumiza
Rosellaaaaaa.... Umebadilika
Rosellaaaaaa........ Nashindwa amua aaah
Rosellaaaaaa...... Mi unaniumiza
Rosellaaaaaa.... Umebadilika
Rosellaaaaaa..... Nashindwa amua aaaah

Yaani imekuwa siku mingi sana hatujazungumza sms zangu hurudishi please call me zangu hunijibu simu hushiki na najua haiwezi kuwa simu ulipoteza juu social media nimeona selfies zako na ile top fulani kali nlikubuyia ya beshike kweli kukumiss nimekumiss tena sana na najua umenimiss pia umenilenga tu juu tulikosana ego yako iko juu ulikuwaga dem wa maringo lakini siteti nikupendaga tu hvyo hvyo yaani tangu unitoke stress iko juu tu sana sura imejaza tu maringles kila time najipata nimekasirikia tu vitu simple simple simple ata jokes na mapeoples nacatch hao wakishow tu madimples yaani kosa walisema si kosa kosa ni kurudia kosa na najua ulikosa but huwezi kubali umekosea nishakuzoea ni sawa tu nimekusamea
Nakaa selfish but kuishi bila we machozi mi siwezi daily kukula kwa hoteli si unajua mi ni mlazy... Malkia smile tamu creasent shape ya mwezi sipendi tukikosana napenda tukichora saba kwa saba love that si unajua nakupenda tu kwa sana
Pamoja tembea dar Kenya mi huishi arusha tunajirusharusha spending karibu DolchiGabana mwanaume si unajua ni kujikaza shopping na suppaghetti crop
Nine months later Baby shower na pampers love imeshika rada Lagda firstborn amekaribisha brother twende nyumbani nikuintroduce kwa matha... Mrasta ashapata tayari

Rudi nyumbani..... Come back home
Rudi nyumbani..... Come back home
Rudi nyumbani... Come back home


Rosellaaaaaa..... Mi Najiuliza
Rosellaaaaaa.... Umebadilika
Rosellaaaaaa.... Nashindwa kuamua aaaah
Rosellaaaaaa... Mi Najiuliza
Rosellaaaaaa.... Umebadilika
Rosellaaaaaa..... Nashindwa kuhamua aaaah

Lyrics by twitter @mselakenya
                Instagram @mselaree

No comments:

Post a Comment